Klabu ya Eintracht Frankfurt imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Europa League baada ya kufuta ndoto za Rangers kwa mikwaju ya penati 5-4 baada ya dakika 120 kumalizika kwa bao 1-1.

Joe Aribo aliweka mbele Rangers kwa bao safi la dakika ya 57 baada ya shuti lake kuvuka mstari na kuwapa uongozi katika dimba la ramon Sanchez Pizjuan Stadium, mjini Seville.

 

frankfurt, Frankfurt Mabingwa Europa League., Meridianbet

Rafael Santos Borre alisawazisha baada ya dakika 12 na kuwarudisha Frankfurt mchezoni baada y a makosa ya Connor Goldson na kuipeleka mechi hiyo katika muda wa ziada.

Katika hatua ya penati mchezaji wa zamani wa Arsenal na Juventus, Aaron Ramsey alikosa mkwaju wa penati na kuwazawadia Frankfurt ushinndi katika fainali hiyo ya kusisimua.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa