Klabu ya Simba SC inatarajiwa kuwakosa wachezaji wake watatu muhimu katika mchezo wake wa pili wa makundi wa kombe la shirikisho barani afrika dhidi ya Union Sportive Gendarmerie Nationale (USGN).

 

simba sc, Simba SC Kuwakosa 3 Dhidi ya Gendarmerie., Meridianbet

Mshambuliaji Chriss Mugalu, Hassan Dilunga na Kibu Dennis wataukosa mchezo wa pili wa hatua ya makundi kutokana na majeraha waliyoyapata katika michezo ya ligi kuu.

Simba SC wanaanza safari kuelekea Niger leo hii kwaajili ya mchezo huo utakaopigwa siku ya Jumapili tarehe 18 katika uwanja wa Stade Général Seyni Kountché.

Sadio Kanute na Pape Ousmane Sakho amabo waliumia katika mchezo wa kwanza wa kombe la shirikisho dhidi ya ASEC wamerejea na watakuwepo katika kikosi kitakacho vaana na Gendarmerie.

Simba SC pia wamemjumuisha kwenye kikosi Bernad Morrison aliyefungiwa kutokana na matatizo ya nidhamu, pamoja na Clatous Chama ambaye atasafiri na timu licha ya kutokuwa na vigezo vya kucheza katika michezo hiyo.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa