Kikosi cha Simba SC kimewasili salama nchini Morocco jana jioni tayari kuanza maandalizi ya mchezo wa tatu wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane.

 

simba sc, Simba SC Watua Morocco Kuwakabili RS Berkane., Meridianbet

Simba SC imetua katika Jiji la Casablanca ambapo itaweka kambi ya siku tatu kabla ya kwenda katika mji wa Berkane ambapo mchezo wetu utafanyika.

Wachezaji, benchi la ufundi pamoja na viongozi walioambatana na timu wote wako katika hali nzuri kiafya na leo hii wanatarajia kuanza programu za mazoezi kwaajiili ya mechi inayofuata.

Mchezo huo wa Simba SC dhidi ya Berkane utapigwa Jumapili saa nne usiku kwa saa za nyumbani.


SHINDA IPHONE 12 NA KASINO YA AVIATOR

Meridianbettz na Aviator wanakupa mchongo wa kuibuka na iPhone 12 katika kasino ya Aviator itakayodumu kwa siku 7. Kuwa rubani wa Aviator na ujishindie!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa