Taarifa kutoka Manchester United zinasema Klabu hiyo ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kumtangaza Erik Ten Hag kuwa Kocha Mkuu akitokea Ajax ya Uholanzi.

 

Ten Hag, Ten Hag Kutua United ni Swala la Muda tu!, Meridianbet

Kocha huyo ataanza majukumu msimu ujao akitoka katika orodha ya Makocha waliokuwa wakipewa nafasi kubwa ya kuajiriwa, wengineo wakiwa ni Mauricio Pochettino wa PSG, Luis Enrique (Timu ya Hispania) na Julen Lopetegui (Sevilla)

Ten Hag (52) atachukua nafasi ya Ralf Rangnick ambaye ni Kocha wa muda, aliyepewa nafasi hiyo baada ya United kumfukuza Ole Gunnar Solskjaer 2021.


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

 

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa