Tetesi za Soka Barani Ulaya.


Tetesi zinasema Benfica imesitisha azma yake ya kumsaka mshambuliaji Edinson Cavani, 33, huku mchezaji huyo aliyekuwa Paris St-Germain akidai karibu pauni milioni 18 kwa kila msimu.

Chelsea imekuwa ikimfuatilia mlinzi wa Atletico Madrid na Uruguay Jose Gimenez, 25, huku kocha Frank Lampard akiwa anafuatilia kutatua mapungufu ya upande wa ulinzi wa kikosi chake.

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Leroy Sane, 24, alionekana kuthibitisha wakati anatambulishwa Bayern Munich kwamba mchezaji mwenzake wa Ujerumani Kai Havertz, 21, ianaelekea Chelsea kutoka Bayer Leverkusen msimu huu.

Chelsea na ajenti wa Havertz wamefikia makubaliano ya kibinafsi kwa ajili ya kiungo huyo wa kati wa Leverkusen.

Brighton haina mpango wowote wa kumuuza mlinzi wa Uingereza Ben White, 22, kwa Leeds United, ambapo amekuwa kwa mkopo msimu huu.

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Jesse Lingard, 27, amemtaka kiungo wa kati raia mwenzake wa Uingereza Jadon Sancho, 20, kuondoka Borussia Dortmund na kujiunga naye Manchester United msimu huu.

Tetesi za ndani zinasema Bayern Munich imesema kuwa kiungo wa kati wa Uhispania Thiago Alcantara, 29, hataruhusiwa kuondoka klabu hiyo kiurahisi baada ya kuhusishwa kuhamia Liverpool.

Valencia imesimama kidete kwa malipo inayotaka kwa winga Ferran Torres, 21, huku Manchester City ikiwa makini kumsajili mchezaji huyo wa kiamataifa wa Uhispani wa Under-21.

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Klabu moja ya Serie A nchini Italia imethibitisha kwamba inafanya mazungumza ya kumsajili aliyekuwa mshambuliaji wa Manchester City na Liverpool Mario Balotelli. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Italia, 29 anaondoka klabu yake ya sasa Brescia.

Tetesi zinasema Naibu mwenyekiti wa Manchester United Ed Woodward anafikiria kumteua mkurugenzi wa soka katika klabu hiyo msimu huu.

Sancho ni mmoja kati ya wachezaji watano ambao kocha wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer anataka wajiunge na kikosi chake. Hata hivyo huenda akalazimika kuuza baadhi ya wachezaji ili kupata pesa.

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Mshindi wa kombe la dunia Marekani Sam Mewis, 27, anaelekea Manchester City kutoka North Carolina Courage, huku mwenzake Rose Lavelle, 25, pia akifikiria kuhamia City kutoka Washington Spirit.

Tetesi zinasema Tottenham inamfuatilia kiungo wa kati wa Roma na Italia Nicolo Zaniolo, 21, ambaye wapania kumsajili.

West Ham imempanga kiungo wa kati wa Queens Park Rangers Eberechi Eze, 22, kama mchezaji wa kwanza wanae mlenga wakati dirisha la usajili litakapofunguliwa huku Crystal Palace pia nayo ikiwa na nia ya kumsajili mchezaji huyo mwenye thamani ya pauni milioni 20.


Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.

Soma Zaidi

42 Komentara

    Goodupdate#meridianbet

    Jibu

    Asante kwa makala nzuri#Meridianbettz

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Habari zuri zana hizi ninaamini kuwa Chelsea watamsajili Kai Havertz mapema zaidi mana timu nyingi zinamuhitaji ila kama akienda Chelsea patamfaa zaidi

    Jibu

    Dilisha la usajiri likifunguliwa kutakua hapo toshi kwa kweli

    Jibu

    Hii ipo poa sanaa

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

    asnte meridianbet kwa makala hizi za kusisimua

    Jibu

    Habari njema#meridianbettz

    Jibu

    Dirisha la usajili limepamba moto

    Jibu

    Patakuwa hapatoshi dirisha likiwa wazi

    Jibu

    Mambo mazuri

    Jibu

    itakua vizuri zaniolo akija spurs

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Usajili wa Sancho unatija kwa man United waongeze juhudi za kumpata atawasaidia Sana# meridianbettz

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Lampard anapaswa aimarishe kikosi chake

    Jibu

    Soka limepamba Moto!

    Jibu

    Lampard kocha mzuri

    Jibu

    Mambo mazuri hayo

    Jibu

    Nice update 👍

    Jibu

    Nimambo mazuri

    Jibu

    Edinson Cavani, “huku mchezaji huyo aliyekuwa Paris St-Germain akidai karibu pauni milioni 18” Mambo haya hapa bongo yapo kwa wazee wa kikapu tuu lakini sikutajaria kama na ulaya yapo!!! Piga kelele kwa Simba yakeeeee

    Jibu

    Benfica iangalie usajili huo wa cavani upya maana umri umeenda pia

    Jibu

    Hatari sana.

    Jibu

    Asanteni meridianbet kwa taarifa

    Jibu

    nice

    Jibu

    Taarifa imeeleweka

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Makala za usajiri hua nazifurahia Sana na meridianbet.

    Jibu

    Arsenal, Juventus, Barcelona na Chelsea zinahitajika kununua wachezaji kuimarisha vikosi vyao#meridianbettz

    Jibu

    GUD news

    Jibu

    Yani hapo dilisha likifunguliwa hakuna kulemba kusajiri wachezaji kunahusika hasa Arsenal na chelsea wanatakiwa waandae vikosi vyao vizuri

    Jibu

    naomba dili la man united kwa sancho likamilike

    Jibu

    Mm bwana naomba ole gunnar asajili usajili wa maana ili man United msimu ujao tuwe moto haswa

    Jibu

    Hatari Sana

    Jibu

    Ningependelea Sana Kama Man U watakamilisaha dili la Sancho kujiunga Kuna OT

    Jibu

    Habari Njema Sana#Meridianbettz

    Jibu

    Chelsea wakimpata kiungo huyu wa Bayern Leverkusen itakua poa sana

    Jibu

    Habar nzur

    Jibu

    Habar njema

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.