Kwa Heshima ya Bellingham, Birmingham Wastaafisha Namba 22

Birmingham City wameamua kustaafisha namba 22 ambayo ni jezi aliyokuwa akitumia kinda wao Jude Bellingham. Kiungo huyo alikua mchezahi ghali zaidi duniani mwenye umri wa miaka 17 baada ya Borussia Dortmund kumsajili kwa Pauni Milioni 30 siku ya Jumatatu.

Jude Bellingham alicheza mchezo wake wa mwisho kwa Birmingham City Jana Jumatano wakipoteza 3-1 vs Derby Country. Bellingham ameendelea ametumia maisha yake ndani ya Birmingham baada ya kujiunga na klabu hiyo akiwa na miaka saba.

Alikuwa mchezaji mwenye umri mdogo kabisa kuitumikia klabu hiyo akiwa katika umri wa miaka 16 na siku 38 mnamo Agosti. Kwa jumla, alifunga mabao mawili na Assists Nne katika mechi 44 kwa klabu yake na Birmingham imeamua kuheshimu mafanikio yake kwa kustaafisha nambari ya jezi yake.

Lakini sio kila shabiki aliyekubali kwamba Bellingham alikuwa amefanya vya kutosha kwa klabu na kufanya jezi yake kustaafishwa. Bellingham atavaa jezi namba 22 pia huko Dortmund msimu ujao baada kukataa ofa ya Manchester United ili ajiunge nao.


Kwa sababu ya thamani ya pesa yako, kwa kila muamala unaofanya wa kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet unapata 5% bonasi.

Soma Zaidi

45 Komentara

    Goodupdate#meridianbet

    Jibu

    Asante kwa makala nzuri

    Jibu

    Asante kwa taarifa#Meridianbettz

    Jibu

    Wenzetu mpira kwao umekua na nafasi kubwa sana Jude Bellingham amekua akionesha kipaji chake toka akiwa na mri wa miaka saba

    Jibu

    Hii ipo poa sana

    Jibu

    iko poa sana

    Jibu

    Inapendeza Sana

    Jibu

    Imekaa vizuri sana

    Jibu

    aisee nimeipenda sana hii

    Jibu

    Kwa kweli kipaji cha Moira kinaheshimika sana kijana anaumri mdogo sana analipa hela nyingi sana kwa uwezo aliokuwa nao wakujituma inavuyia sana

    Jibu

    Asante kwa makala#meridianbettz

    Jibu

    Jude Bellingham ni mchezaji mwenye umri mdogo sana na kipaji chake kilioneka akiwa bado mdogo anaujua mpira na kujituma sana

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Ni jambo la heshima kwake

    Jibu

    Ni jambo zuri kufanya ivyo Ni heshima wamempa

    Jibu

    safi

    Jibu

    Me naona sisawa maana bado Kuna wachezaji wadogo na wazuri wanao chupukia so wakitokea wata staffisha number ngapi#meridianbettz

    Jibu

    Eeeeh bwana nimeipenda sana

    Jibu

    Hii nzuri,

    Jibu

    Imekaa vzr sana

    Jibu

    Dortmund lilikuwa chaguo la kwanza kwa Bellingham kulinganisha na timu nyingine hasa za England ambazo zilikuwa zimeonyesha nia ya kumhitaji kama Manchester United na Manchester City.
    Pengine matamanio hayo yanakuja katika kipindi ambacho Borrusia Dortmund wametengeneza majina mengi ya vijana kama Christian Pulisc na Jadon Sancho katika misimu ya karibuni

    Jibu

    Iko vzr

    Jibu

    Ingekuwa vizuri zaidi kama angekabidhiwa mtu mwingine huenda angejituma zaidi ili na yeye aweze kupata mafanikio zaidi

    Jibu

    Iko poa

    Jibu

    Borussia imepata bonge la mchezaji umri bado unamruhusu sana kwa kukiputa

    Jibu

    Hongera kijana.

    Jibu

    Kijana Yuko vizur Sana.hongera yake

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Ni jambo zuri.

    Jibu

    Dortmund imekuwa timu inayotengeza vipaji vingi na kwabahati mbaya huchuliwa na timu kubwa. Endapo Jude Bellingham atapata nafasi ya kucheza atapata mafanikio #meridianbettz

    Jibu

    Goof news

    Jibu

    Habari nzuri#meridianbett

    Jibu

    Hii ni Habali njema

    Jibu

    asante meridianbet kwa habar moto moto

    Jibu

    Nimeipenda hiyoo

    Jibu

    asante kwa makala nzuri

    Jibu

    Hiyo imekaa poa sana

    Jibu

    Hii poa Sana

    Jibu

    Wamwfanya haraka Sana kusitafisha jezi yake inama huko mbeleni Kama atarudi hatawwza kuivaa tena

    Jibu

    Wawooo Hadi raha#Meridianbettz

    Jibu

    Dortmund wamepata mchezaj mzuri

    Jibu

    Wamempa heshim kubw ambay cjui km kastaili

    Jibu

    Gud update

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.