Shirikisho la Mpira Nchini Tanzania (TFF) Limetoa orodha ya Wachezaji,Wadau na viongozi mbalimbali wanaosimamia Mpira Tanzania watakaowania Tuzo na wengine kupewa kwa Heshima.
Tuzo hizo zinatarajiwa kutolewa Oktoba 21,2021 Kwenye Ukumbi wa Kituo Cha Kimataifa cha Julius Kambarage Nyerere (JINCC) Jijini Dar es Salaam.
Tuzo Hizo za TFF Zimeorodheshwa kama ifuatavyo:
Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi wa VPL 2020/21:
Lusajo Mwaikenda (KMC)
Abdul Sopu (Coastal)
Deogratius Mafie (Biashara)
Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL 2020/21.
1.Clatous Chama
2.Mukoko Tonombe
3.John Bocco
Tuzo ya Mhamasishaji Bora 2020/21
1: Masau Bwire
2: Haji Manara
3: Bongo Zozo
Wanaowania Tuzo ya Beki bora wa VPL.
1.Dickson Job
2.Shomary Kapombe
3.Mohamed Hussein
Wanaowania Tuzo ya Kiungo bora Wa VPL.
1.Clatous Chama
2.Feisal Salum
3.Mukoko Tonombe
Wanaowania Tuzo ya Kocha Bora wa VPL.
1.Didier Gomes
2.George Lwandamina
3.Francis Baraza
Wanaowania Tuzo ya Golikipa Bora wa msimu wa VPL.
1.Aishi Manula
2.Jeremiah Kisubi
3.Haroun Mandanda
Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Kombe la ASFC.
1.Luis Miquissone
2.Feisal Salum
3.John Bocco
Wanaowania Tuzo ya Golikipa Bora wa Kombe la ASFC.
1.Faroukh Shikhalo
2.Aishi Manula
3.James Sembele
Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Wanawake (SWPL).
1.Oppah Clement
2.Amina Bilal
3.Aisha Masaka
Wanaowania Tuzo ya Kocha Bora wa Ligi ya (SWPL).
1.Oppah Clement
2.Amina Bilal
3.Aisha Masaka
Wanaowania Tuzo ya Kocha Bora wa Ligi ya Wanawake (SWPL)
1.Edna Lema
2.Musa Mugosi
3. Ally Mohammed Ally
Fanya wiki yako iwe ya kuvutia zaidi, tunaelekea Los Angeles kutengeneza mkwanja na kasino maridhawa ya LA Rouge kutoka katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Fursa ya kufurahi huku unajaza pochi yako.
CHEZA HAPA