Kocha wa Paris Saint-Germain Mauricio Pochettino anaamini kwamba bado kuna nafasi ya Kylian Mbappe kutuliza akili na kubadili maamuzi yake ya kuondoka klabuni hapo baada ya mshambuliaji huyo kuthibitisha kwamba anataka kwenda Real Madrid mwakani.
Real Madrid imeanda kitita cha £197m kwa mshindi huyo wa kombe la Dunia na UEFA Nations League ili iweze kumnasa wakati wa dirisha la usajili la majiraya joto mwaka 2022.
Paris Saint-Germain ilikataa kumuuza wakati wa dirisha la usajili lililopita licha ya mkataba wa mchezaji huyo kuacha kufanya kazi mwishoni mwa msimu huu.
Lakini bosi wa PSG anaamini kwamba Mbappe anaweza kubadili mawazo yake na kuendelea kuichezea klabu hiyo ya Ligue 1.
“Kylian anaweza kubadili mawazo yake na kusalia hapa,” Pochettino aliiambia El Chiringuito “Klabu hii itafanya kila kitu kumbakisha, PSG inaweza kumshawishi na anaweza kubadili amawazo yake.
Fanya wiki yako iwe ya kuvutia zaidi, tunaelekea Los Angeles kutengeneza mkwanja na kasino maridhawa ya LA Rouge kutoka katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Fursa ya kufurahi huku unajaza pochi yako.
CHEZA HAPA