Paris Saint-Germain Mauricio Pochettino - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Carragher Amuonya Pochettino Kurejea Spurs

Daily News

Jamie Carragher amesema kuwa, Mauricio Pochettino atakuwa anafanya makosa kwa kurejea Tottenham kwani itakuwa sawa na kurejea kwa Kevin Keegan Newcastle United.   Shinikizo linaongezeka kwa kocha wa Tottenham, Antonio …

Pochettino Akalia Kuti Kavu PSG.

Daily News

  Klabu ya PSG inapanga kufanya mapinduzi makubwa katika uongozi wa timu hiyo na wamepanga kuvunja mkataba wa meneja wa timu hiyo Mauricio Pochettino. Paris Saint-Germain wana mwelekeo wa kumfukuza …

Pochettino na Mbappe Wanasalia PSG?

Daily News

Taarifa za hivi majuzi kutoka kwa maripota mbalimbali zilidai Paris Saint-Germain wapo mbioni kumuondoa kocha klabu hiyo Mauricio Pochettino lakini raia huyo wa Argentina amedai kwamba yeye na Kylian Mbappe …

Mauricio Pochettino: Sijibu Tetesi

Daily News

Kocha wa klabu ya Paris Saint-Germain Mauricio Pochettino amerudia kauli yake ya kuwa akili yake yake yote ipo PSG na huku akikataa kujibu tetesi zilizokuwa zinazunguka kuhusu kutaka kujiunga na …

PSG: Tunanafasi ya Kumbakisha Mbappe Paris

Daily News

Mshambuliaji wa Paris Saint-Germain Kylian Mbappe aliripotiwa kuhusishwa na kutimikia Real Madrid lakini Leonardo amesema klabu hiyo itafanya kila kitu inachoweza kumfanya nyota huyo kusalia klabuni hapo. Katika mahojiano ya …

Pochettino Kurejea Spurs!

Daily News

Klabu ya Tottenham tayari inafanya mazungumzo ya kumrejesha tena meneja wao wa zamani Mauricio Pochettino, ambaye kwa sasa anahudumu kama meneja kule Paris Saint-Germain. Kwa mujibu wa Skysport, Tottenham wamefikiria …

1 2 3 4