Kocha wa klabu ya Paris Saint-Germain Mauricio Pochettino amerudia kauli yake ya kuwa akili yake yake yote ipo PSG na huku akikataa kujibu tetesi zilizokuwa zinazunguka kuhusu kutaka kujiunga na klabu ya Manchester United kabla ya kuchaguliwa Erik ten Hag kuinoa timu hiyo.

Pochettino na Ten Hag wote walifanyiwa mahojiano ya kwa ajiri ya kuchukua mikoba ya kuinoa timu hiyo, ambapo mwisho wa siku ni Ten Hag ndiye aliyefanikiwa kuchaguliwa kuchukua mikoba ya kuionoa timu hiyo.

Mauricio Pochettino
Mauricio Pochettino

Mauricio Pochettino kwenye kikao na waandishi wa habari baada ya Ten Hag kuchaguliwa kuinoa klabu ya Man Utd, aliulizwa  ikiwa kutangazwa kwa kocha mpya kwenye klabu ya United kutampa hamasa ya kujitatiti kwenye klabu ya PSG, ambayo inaweza kutawazwa kuwa bingwa wa Ligue 1 wikiendi hii.

“Tetesi zote kuhusu kazi yangu ya soka haijawai kuniathili kabisa, sijchangi wala sijibu kwenye tetesi. Alisema Pochettino.

“Nilipokuwa nafundisha Southampton, Tottenham na sasa PSG,  mara zote nimekuwa nikijitoa kwa kadrti niwezavyo. Tetesi ni tetesi , hatuhitaji kuwapa umakini kwa sasa, tunajua wapo wanaishi na wanatengeneza kila siku kama sehemu yao ya kazi.

“Kama ilivyo mara zore tumekuwa makini na kazi zetu kwenye klabu.”


VUNA MKWANJA NA AVIATOR

Maana halisi ya ushindi mkubwa unaipata katika kasino ya mtandaoni ya Aviator kutoka meridianbettz. Andaa kapu la ushindi wa mkwanja na beti kibao za BUREEE.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa