Bosi wa Paris Saint Germain, Mauricio Pochettino anaripotiwa kuwa amefanya mazungumzo na klabu yake baada ya kuhusishwa na klabu za Real Madrid na Tottenham.

Wakati jitihada za Daniel Levy zikiendelea kumtafuta mrithi wa Jose Mourinho, ripoti zilitaja kuwa klabu hiyo inashauriana uamuzi wa kumrejesha tena meneja aliyepita, Mauricio Pochettino baada ya miezi 18 tangia walipomtimua kazi.

Hata hivyo, meneja huyu wa kutokea Argentina amekuwa akihusishwa pia na kuhamia klabuni Real Madrid kama mbadala wa Zinedine Zidane, Madrid walikuwa pia wakihusishwa na Massimiliano Allegri anayerejea Juventus.

Pochettino Mezani na PSG Kufuatia Spurs na Madrid

Kwa PSG, ikizingatiwa kuwa meneja huyub ameingia kazini mwezi Januari tu, baada ya kutimuliwa kwa Thomas Tuchel, bila shaka PSG wameshituliwa na kuhitajika kwake kwa uharaka hivyo akiwa ndiyo kwanza ameanza kufanya vyema katika kibarua chake.

Makataba wa sasa wa meneja huyu unafika tamati mwisho wa msimu 2021-22, na mpaka sasa tayari ameshashinda mechi 24kati ya 34 alizowaongoza PSG.


BONASI YA 50% KILA SIKU KATIKA KASINO ZA EVOPLAY HAPA MERIDIANBET.

Meridianbet na Evoplay Kasino wanakupa bonasi ya 50% ya kiasi utakachoweka katika akaunti yako leo. Unasubiri nini ni wakati wa kupiga pesa sasa na Mabingwa.

tuchel, Tuchel :Tuna Bahati Tottenham Wametusaidia Kazi., Meridianbet

SOMA ZAIDI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa