Zinedine Zidane ndiyo jina linalotajwa sana kama mbadala wa kocha wa Paris Saint-Germain Mauricio Pochettino licha ya klabu hiyo ya Ligue 1 kutosema chochote juu ya uwezekano wa kumleta kocha mpya.

Zidane Anatua Paris Saint-Germain?

Lakini kocha huyo raia wa Ufaransa aliweka wazi siku za nyuma matamanio yake ya kuinoa timu ya taifa ya Ufaransa.

Hakuna chochote kilichopangwa lakini Zidane kuifundisha timu hiyo itakuwa ndoto yao baada ya kumpa mkataba mpya Kylian Mbappe kwaajili ya zama mpya za miamba hao wa Ufaransa.

Kwa mujibu wa Mundo Deportive Zizzou amesafiri mpaka Qatar kwaajili ya kukamilisha kusaini mkataba na wamiliki wa PSG huku wakiripoti kwamba dili hiyo itakamilika siku ya kesho.

Zidane ambaye alishinda taji la Ligi ya Mabingwa mara tatu mfululizo amekaa bila kuwa na timu tangu alipofukuzwa Real Madri msimu wa 2020-21 ulipoisha.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa