Wolves Yakaribia Kumnasa João Palhinha

Klabu ya Wolves ipo karibu kumsajili João Palhinha kutoka Sporting Lisbon kwa dau linalloripotiwa kufika €20m.

Kiungo huyo wa miaka 26 aliripotiwa kuwavutia pia Manchester United lakini bado hawajaonyesha nia ya kumleta Old Trafford wakatio wa dirisha hili la usajili la majira ya kiangazi.

Kwa hiyo tutarajie kumuonaJoao Palhinha katika Premier League msimu ujao sababu kama sio Wolves huenda akatua Man United.

Lakini kwa mujibu wa Portuguese daily Record, Wolves wamekaribia kukamilisha dili hiyo kwa siku chache zinazokuja kilichopbakia ni makubaliano ya vipengele na kuasiniwa na vilabu hivyo.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

Acha ujumbe