Son Heung-min Kukosekana Kwenye Kikosi cha PFA ni Ubaguzi?

Mshambuliaji wa klabu ya Tottenham na mfungaji bora wa ligi kuu ya Uingereza Son Heung-min amekosekana kwenye kikosi bora cha msimu chenye wachezaji kumi na moja  kilichotajwa siku ya alhimisi na Premier League.

Son Heung-min amefanikiwa kucheza michezo 35 msimu huu kwenye ligi kuu ta Uingereza, na amefanikiwa kufunga magoli 23, huku akiwa na rekodi ya kipekee ya kutofunga goli lolote kwa mkwaju wa penati msim huu.

Son Heung-min
Son Heung-min

Kukosekana kwake kwenye kukosi cha PFA, kumezua taharuki na maswali kwa wafwatailiaji wa soka kote ulimwenguni, na kudhani kuwa ni ubaguzi uliofanyika dhidi ya mchezaji huyo kutokea Korea Kusini, ambapo wengi wamekuwa wakihoji inakuwaje mfungaji bora na mshindi wa kiatu cha dhahabu akosekana kwenye kikosi hicho cha mwaka.

Orodha ya wachezaji wa PFA iliyotolewa na Premier League ni timu nne tu ndizo zilizotoa wachezaji hao huku Liverpool ikiongoza kwa kutoa wachezaji wengi ambapo imetoa wachezaji sita, Man City watatu, Chelsea mmoja na Man Utd mmoja.

Je ni kweli kuwa kwa kiwango alichoonyesha Son Heung-min kwenye msimu wa 2021-22 hakustahili kuwa kwenye timu ya PFA ya mwaka ?


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

Acha ujumbe