Mchezaji chipukizi wa Russia, Kamila Valieva ameruhusiwa kuendelea na michezo ya Olimpiki ya Majira ya baridi baada ya Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) kuamua kwamba binti huyo wa miaka 15 asifungiwe kwa muda baada ya kushindwa majaribio ya dawa.

 

valieva, Valieva Aruhusiwa Kumalizia Olimpiki Beijing., Meridianbet

CAS imesema kumzuia mchezaji huyo wa Kirusi [Valieva] kushindana kungemsababishia madhara zaidi yasiyoweza kurekebishwa.

“Mchezaji anafaa kunufaika kutokana na mazingira tofauti: Ana umri chini ya miaka 16 na ni mtu anayelindwa chini ya kanuni ya Wakala wa Dunia wa Kupambana na Matumizi ya Madawa ya Kulevya (Wada),” aliongeza Matthieu Reeb.

CAS ambayo ni mahakama ya juu zaidi ya michezo, ilisema “maswala mazito ya kuarifiwa kwa wakati wa matokeo” ya jaribio lililofeli ambalo lilikuja wakati wa Michezo na karibu wiki sita baada ya kutoa sampuli pia ilishiriki katika uamuzi wake.

“Taarifa kama hiyo kucheleweshwa haikuwa kosa lake, katikati ya Michezo ya Majira ya baridi ya Olimpiki,” uamuzi huo ulisema.

Valieva aligundulika kutumia madawa yaliyozuiliwa michezoni tarehe 25 December mwaka jana, alisimamishwa rasmi tarehe 8 February lakini alikata rufaa na Russian Anti-Doping Agency walifuta hukumu hiyo siku inayofuata.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa