Walter Bwalya Kutua Simba SC.

 

Habari za ndani zinasema mshambuliaji wa Al Ahly Walter Bwalya 🇨🇩 anaweza kukamilisha dili lake la kutua Simba na lipo katika hatua nzuri.

 

Bwalya alikuwa anapigiwa hesabu na Simba kwa muda mrefu jambo ambalo linawafanya waendelee kuiwinda saini yake. Mchezaji huyo ameshindwa kuonyesha makali akiwa na mafarao hao wa misri.

Timu ya Simba 🦁 inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes 🇫🇷 inahitaji saini ya mshambuliaji mmoja na anayetajwa kuwa katika hesabu za Simba ni Bwalya.🇨🇩

Taarifa zinaeleza huenda Simba ikapata saini ya mshambuliaji huyo kwa mkopo kutoka katika klabu ya Al Ahly.


KUSANYA PESA HAPA!

IcyGems kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet. Ndio, ukiwa kwenye nyumba ya mabingwa, ndipo utakapoufurahia ubora wa Kasino ya Mtandaoni sambamba na kushinda kwa ushindi mkubwa! Ishi na hii, IcyGems!Meridianbet

INGIA MCHEZONI

Acha ujumbe