Kocha wa Derby inayoshiriki Championship, Wayne Rooney anaongoza katika washiriki wanaopigiwa upatu kuinoa klabu ya Burnley baada ya kumtimua Sean Dyche.

Burnley inayonolewa na kocha wa muda Mike Jackson imedumu na Sean Dyche kwa takribani miaka 10 lakini kibarua chake kilifikia tamati baada ya kufanya vibaya na kukaribia kushuka daraja.

 

rooney, Wayne Rooney Apigiwa Upatu Burnley., Meridianbet

Taarifa zinasema Rooney atachukua mikoba hiyo ya kuinoa Burnley endapo tu klabu hiyo itashindwa kusalia ndani ya ligi kuu.

Rooney alijiunga na Derby kama mchezaji na baadae kocha mwaka 2020, baada ya kusajiliwa mwaka 2019 akiwa na mkataba wa miaka miwili ukiwa umesalia kwenye mkataba wake wa sasa.

Klabu ya Derby imeshuka mpaka ligi daraja la kwanza baada ya kukatwa alama 21 pamoja na kupambana kusalia katika ligi ya Championship, lakini ilikuwa vigumu kutokana na alama walizopokonywa.


TENGENEZA FAIDA NA ZEUS ANCIENT FORTUNES

Una Kila sababu ya kufurahia wiki yako na kutengeneza mwaka huu uwe wa faida zaidi katika kasino zetu za mtandaoni za meridianbettz. Mchezo wa Zeus Ancient Fortunes unakuongoza kutekeleza hilo.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa