Uongozi wa klabu ya Yanga SC umekanusha rasmi taarifa zilizozagaa kuwa wamempa kocha wao mechi mbili kwamba asipofanya vizuri watamtimua.

 

yanga, Yanga : Nabi Bado Yupo Sana Jangwani., Meridianbet

Mwenyekiti wa kamati ya usajili na ufundi katika klabu ya Yanga SC, Dominic Albinus amesema uongozi wa timu hiyo una imani kubwa na kocha Nasreddine Nabi na tuna mpango nae wa muda mrefu.

Dominic Albinus amesema, Taarifa hizo ni propaganda zilizoandaliwa na maadui zao.

Mbali na hayo kocha huyo wa Yanga amesema wanajipanga kwaajili ya mchezo wa marudiano utakaopigwa kule Nigeria kujua hatima yao ya kusonga mbele.

“Tumepoteza mkondo mmoja na mwingine umebaki, katika mpira kuna matokeo matatu, basi mpira bado haujaisha, nimeongea na wachezaji wangu tunaenda kupambana kusaka ushindi Nigeria” alisema Nabi.


MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa