Taarifa zinasema kwamba mmoja wa Wafadhili wa Club ya soka ya West Ham ya England anatafakari kujiondoa kuifadhili Timu hiyo baada ya Beki Kurt Zouma kuruhusiwa kucheza dhidi ya Watford huku akiwa ana video iliyosambaa mtandaoni ikimuonesha anampiga paka.

 

Kurt Zouma

Mfadhili huyo ambaye ni Shirika la utalii la Experience Kissimmee lenye makao yake Florida, Marekani linasema limevunjwa moyo na kitendo cha Zouma kuendelea kuiwakilisha klabu hiyo uwanjani licha ya kitendo chake cha kupiga paka kupingwa kwa nguvu zote.

Hata hivyo Kocha wa West Ham, David Moye pamoja na kusema kwamba amesikitishwa na kitendo hicho cha mchezaji wake ila alichofanya kumchezesha uwanjani ni kazi yake kwa sababu kama Kocha ni wajibu wake kuipa timu hiyo ushindi.


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa