Mcheza Tenisi, Alexander Zverev ametolewa kwenye michuano ya Acapulco na anakabiliwa na adhabu kali baada ya mara kwa mara kupiga kiti cha mwamuzi kwa kutumia raketi katika mechi.

 

zverev, Zverev Afungiwa Mexican Open., Meridianbet

Tukio hilo lilitokea muda mfupi baada ya mshirika huyo wa Ujerumani na Brazil, Marcelo Melo kupokea kipigo cha seti 6-2 4-6 na 10-6 kutoka kwa Lloyd Glasspool wa Uingereza na Harri Heliovaara wa Finland.

Wachezaji hao wanne walipeana mikono kwenye wavu kabla ya Zverev kumgeukia mwamuzi na kupiga kwa jeuri kiti na rasi yake mara tatu, nusura aupige mguu wa afisa huyo.

Waandalizi wa mashindano hayo walithibitisha kwa haraka kuwa mchezaji huyo wa dunia hatashiriki tena katika mashindano ya Mexican Open, wakiandika kwenye Twitter:

“Kutokana na mwenendo usio wa kiuanamichezo wakati wa kuhitimisha mechi yake ya wachezaji wawili wawili Jumanne usiku, Alexander Zverev ameondolewa kwenye dimba la Acapulco.”


SHINDA IPHONE 12 NA KASINO YA AVIATOR

Meridianbettz na Aviator wanakupa mchongo wa kuibuka na iPhone 12 katika kasino ya Aviator itakayodumu kwa siku 7. Kuwa rubani wa Aviator na ujishindie!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

SOMA ZAIDI HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa