Mchezaji wa Mixed Martial Arts, Conor McGregor anatarajiwa kurejea ulingoni hivi karibuni baada ya kufanyiwa upasuaji wa mguu miezi kadhaa iliyopita.
Conor McGregor ambaye ameanza mazoezi ambayo yameonekana katika mitandao yake ya kijamii huku akitumia vyema mguu wake wa kushoto aliofanyiwa upasuaji.

McGregor alivunjika mguu wa kushoto(The tibia and fibula) katika pambano dhidi ya Dustin Poirier ambalo alipoteza kwa K.O baada ya kushindwa kuendelea na pambano hilo.
ALIYA’S WISHES
Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.

