Bernado(28) Kusalia City

Yakiwa ni masaa machache yamebaki kabla ya kufugwa kwa dirisha kubwa la usajili Ulaya, mchezaji wa timu ya Taifa ya Ureno na klabu ya Manchester City Bernado Silva amesema kuwa hataondoka klabuni hapo kwa hajapokea ofa yoyote na mustakabali wake upo City.

 

Bernado Kusalia City

“Ninabaki Manchester, Hapa nina furaha na uamuzi umefanywa” aliiambia @polballus

Mwanzo, tetesi zilikuwa zikimuhusisha na kujiunga na Barcelona lakini taarifa zilizotoka ni kuwa ataendelea kuitumikia Manchester City msimu huu ambao wapo kwenye kiwango bora sana.

Bernado Kusalia City

Bernado ambaye anacheza kwenye nafasi ya kiungo amekuwa na mchango mkubwa sana pale Etihad kwani licha ya kuwa kiungo mshambuliaji  ana uwezo mkubwa pia wa kupachika mabao, anajituma sana kitu ambacho kimeleta mafanikio chanya klabuni hapo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.