Liverpool walikuwa na mechi nzuri ya raundi ya nne dhidi ya Wolves kwa kushinda mechi hiyo ya marudianokwa bao 1-0 bao la Liverpool lilifungwa na Elliott dakika ya 13 kipindi cha kwanza. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

Liverpool ambao walitoka kufungwa 3-0 na Brighton kwenye uwanja wa Amex kwenye EPL Jumamosi iliyopita hivyo ushindi wa jana usiku ulikuwa na umuhimu mkubwa sana kwa kikosi cha Jurgen Klopp ambacho kimekuwa kikisuasua kupata matokeo.
Klopp alisema: “Hakuna tatizo, tunakuja Wolves tena hivi karibuni pia, huo ni mpira wa miguu Hakuna shida.

“Tulitaka kwenda raundi inayofuata na tulijua Brighton ndiye mpinzani kwa hiyo hakuna tatizo.
“Kazi yangu sio kuwa mdomo mkubwa na kusema, ‘Hapa tunarudi tena’.
“Tunaenda huko baada ya wiki moja na nusu na tunajaribu kucheza vizuri zaidi kuliko mara ya mwisho.”-Klopp
Darwin Nunez, ambaye alikosa mechi ya ligi kutokana na majeraha, atarejea mazoezini leo au kesho kujiunga na wenzake huko Anfield. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Liverpool itacheza na Chelsea Jumamosi na kisha kuwa na wiki safi kabla ya mechi ya kombe la FA itakayomrudisha Liverpoolhuko Wolves Februari 4, 2023. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.

