Alejandro Garnacho anakaribia kusaini mkataba mpya na Manchester United baada ya kukataa kujiunga na Real Madrid. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Kinda huyo amezivutia vilabu vikubwa kama Real Madrid na Juventus kuhusu kiwango chake tangu alipoingia kwenye kikosi cha kwanza cha United. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.
Garnacho amefunga mabao mawili na kutoa pasi nne za mabao katika mechi 15, amefanyiwa mabadiliko mara 5 akitokea benchi, amekuwa sehemu ya kikosi cha Ten Hag mara 8, akiwa ameanza mara mbili.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 18, ambaye alizaliwa Madrid na kujiunga na United akitokea Atletico Madrid mwaka 2020, alidhaniwa kuwa mkataba wake unamalizika 2024.
Walakini, Telegraph inadai kuwa mkataba wake utaendelea hadi 2025 na Garnacho anataka kubaki United zaidi ya hapo. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.
Ripoti hiyo inadai Garnacho anakaribia kusaini mkataba mpya ambao utaongeza mshahara wake zaidi ya mkataba wake wa sasa wa paundi 5,000 kwa wiki. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.
United wanahofia kumtoa mapema sana Garnacho baada ya kuathiriwa na mpango wao na Adnan Januzaj.

Mbelgiji huyo alifurahia umaarufu mkubwa mwaka 2013 alipoingia kwenye kikosi cha kwanza cha United chini ya David Moyes na United wakampa mkataba mpya miezi miwili tu baadaye baada ya kutakiwa na Paris Saint-Germain. Pata Odds kubwa za soka ukiwa na Meridianbet.
Lakini njaa ya Januzaj ilipungua na aliuzwa miaka minne baadaye kwa £9m pekee.

