Popote ulipo pokea taarifa hii kutoka kwa Wananchi, ambapo kwa sasa moto unawaka vibaya, Iko hivi Yanga ilimbakisha Gael Bigirimana kwenye usajili wa CAF, hivyo bado ni mchezaji wao. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

Nyota huyo wa zamani wa Newcastle alisaini mkataba wa miaka miwili mwanzoni mwa msimu huu ili mkataba huo uvunjwe inatakiwa Yanga walimpe zaidi ya Sh 700m. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.
Imeelezwa na chanzo cha habari kuwa Wakala wa Bigirimana Costantine Mutima, tayari ametua nchini na kufanya mazungumzo na Rais wa Yanga Hersi Said na CEO Andrew Mtine ili kumaliza jambo hilo, lakini inaelezwa mazungumzo hayakuwa na majibu ya moja kwa moja baada ya wakala huyo kutaka Yanga imlipe Bigirimana kiasi hicho cha pesa ili aondoke.
Imebainika kuwa mwanzoni mwa wiki hii, Wakala wa Bigirimana ameandika barua TFF akitaka uthibitisho wa usajili wa Gael kisha afuate hatua za kisheria ikiwemo kwenda Fifa. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.
Hata hivyo Yanga imemuingizia Gael mshahara wa Januari na bado yupo nchini akitarajia kuondoka siku yoyote kuanzia Jumatatu ijayo. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa na zawadi ya ukaribisho ukijiunga. Bashiri hapa.

