Vinicius Jr Anahitajika Adidas

Mchezaji wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil Vinicius Jr anahitajika na kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo Adidas baada ya kumaliza mkataba wake na kampuni ya Nike.

Mchezaji Vinicius Jr amefanikiwa kumaliza mkataba wake na kampuni ya Nike ambayo ndio iliokua inamdhamini na kumtengenezea vifaa vya michezo, Lakini kampuni kadhaa za kutengeneza vifaa vya michezo zimeingia kwenye vita kubwa kuhitaji saini ya mchezaji huyo matata anayefanya vizuri ndani ya Real Madrid.Vinicius JrKampuni ya Adidas imekua ikiongoza vita hiyo ya kumuwania mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Brazil huku kampuni kadhaa pia zikionesha nia ya kumuhitaji mchezaji huyo, Mchezaji huyo inaelezwa anakaribia kusaini kandarasi na kampuni ya Adidas.

Vinicius Jr pia ameonekana akivaa viatu venye rangi nyeusi bila nembo ya kampuni yeyote katika michezo ya hivi karibuni, Kutokana na mkataba wake na kampuni ya Nike kumalizika huku akiendelea kufanya mazungumzo na kampuni zingine ili kuangalia uwezekano wa kujiunga nazo.Vinicius JrMchezaji Vincius Jr pia inaelezwa amepokea ofa ya kampuni yake iliyomalizana nae mkataba ya Nike wakihitaji kuendelea nae pamoja na kampuni ya Puma pia imeweka ofa kw amchezaji huyo, Lakini kampuni ya Adidas ndio inaonekana iko kwenye eneo zuri la kuweza kupata saini ya mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Brazil

 

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.