Senegal Yatwaa Ubingwa wa CHAN 2022 kwa Mara ya Kwanza

Senegal wametawazwa kuwa Mabingwa wapya wa kombe la CHAN mwaka 2022 baada ya kuifunga timu ya taifa ya Algeria kwa mikwanju ya penati 4-5, hiyo ni baada ya kutamattika kwa dakika 90 za mchezo bila kufungana na zikaongezwa nyingine 30 lakini ngoma bado ilikuwa ngumu. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

SENEGAL

Senagal ambao iliyosheheni wachezaji wengi wenye viwango vizuri kama vile Madadou Sane, Lamine, Pape Mamadou SY Mlinda mlango hatari aliyeokoa michomo ya wachezaji wa Algeria kwa nyakati tofauti na kuisaidia timu yake kutwaa ubingwa huo. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Timu zote mbili zilicheza mpira mzuri huku wakishambuliana kwa kasi na kupokezana, ziliufanya mchezo huo kuwa mzuri na wa aina yake kuutazama, lakini unaweza kusema bahati haikuwa kwa waandaaji wa mashindano hayo Algeria kwani walishindwa kuutumia uwanja wao wa nyumbani wa Nelson Mandela vizuri kwa kupata matokeo ndani ya dakika 120 za mchezo, ikizingatiwa walikuwa na faida ya mashabiki.

Jambo lisilo la kawaida ni kwamba hakuna timu iliyootea wakati wa mchezo huo wa dakika 120, huku kila upande ukipokea kadi nne za njano. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!

Hii ni mara ya kwanza kwa Senegal kushinda kombe la CHAN lakini Morocco, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameshinda mara mbili kila mmoja, Libya na Tunisia zilishinda matoleo ya awali ya mashindano ya timu ya taifa. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet.

Kulikuwa pia na mchezo wa mchujo wa kuwania nafasi ya tatu katika mji wa magharibi wa Oran siku ya Ijumaa ambapo bao la dakika ya 90 kutoka kwa Jean-Yves Razafindrakoto liliipa Madagascar ushindi wa 1-0 dhidi ya Niger. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa na zawadi ya ukaribisho ukijiunga. Bashiri hapa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.