Simba Yaja na Staili Mpya ya Kushangilia| Vipers Watakoma

Afisa Habari wa Klabu ya Simba SC Ahmed Ally ametoa utaraibu mpya wa kushangilia kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Vipers na michezo mingine ya kimataifa. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

simba

Simba watacheza na Vipers ya Uganda katika dimba la Mkapa kesho saa 1 usiku, hivyo kuelekea mechi hiyo muhimu kwa Mnyama jana katika Wenye Nchi Beach Party utaratibu mpya umetolewa. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

“Upande wa TV kubwa ya uwanjani, tumelichukua na kuwa sehemu yetu ya kushangilia, mashabiki na wapenzi wote wa Simba kama unataka kushangilia mwanzo mwisho( mwa-mwi) unaruhusiwa kuja pale, lakini kama huna nguvu kaa majukwaa mengine.

 

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.