Burna Boy baada ya kufanya shoo kali kwenye dakika za mapumziko za NBA All-Star 2023 sasa kutumbuiza kwenye UCL. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.

Fainali za michuano bora kabisa barani Ulaya na dunia kwa ujumla UEFA champions League zitatumbuizwa na msanii kutoka Nigeria nchi ya vipaji vya muziki Damini Ebunoluwa Ogulu MFR kimuziki anajulikana kwa jina la Burna Boy fainali hiyo itafanyika kwenye Uwanja wa Ataturk Olympic mjini Istanbul tarehe 10 Juni.
Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.
Taarifa kutoka UEFA iliandika, “Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji aliyeshinda tuzo ya GRAMMY na tuzo nyingi Burna Boy ataongoza Onyesho la Mwisho la UEFA Champions League 2023, kwenye Uwanja wa Olimpiki wa Ataturk huko Istanbul siku ya Jumamosi Juni 10.”
Droo za mechi za robo fainali na nusu fainali kati ya Manchester City, Chelsea, Napoli, Inter Milan, AC Milan, Benfica, Real Madrid na Bayern Munich itapangwa leo Machi 17 mjini Nyon Uswizi. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Sio mara ya kwanza kwa Burna Boy, ambaye pia aliongoza onyesho la wakati wa mapumziko la Mchezo wa NBA All-Star 2023 akiwa na Tems na Rema.
“Kama shabiki mkubwa wa soka mwenyewe, najua haitakuwa kubwa kuliko Ligi ya Mabingwa ya UEFA! Ndiyo maana ninafuraha sana kutumbuiza kwenye jukwaa la Pepsi kwenye fainali ya mwaka huu,” Burna Boy alisema kwenye tovuti ya UEFA.
“Muziki na mpira wa miguu ndio mchanganyiko wa mwisho, kwa hivyo tayari unajua nitakuwa nikitoa furaha na kufanya maajabu huko Istanbul. Ulimwengu hauko tayari kwa kile tulicho nacho!”
Wakati timu mbili zitakazocheza fainali bado hazijathibitishwa, kuonekana kwa Burna Boy tayari ni jambo la kutarajia. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

