Mechi nyingine ya ligi kuu hii leo itapigwa majira ya saa 1:00 usiku katika dimba la Benjamin Mkapa ambapo mabingwa watetezi wa ligi Yanga watamenyana dhidi ya Kagera Sugar.

Ikumbukwe kuwa Yanga mpaka sasa wamepoteza mchezo mmoja pekee huku wakiwa bado wanaongoza ligi wakiwa na pointi 65 kwenye msimamo wa ligi baada ya kushinda mechi zao 21 kati ya 24.
Wakati kwa upande wa Kagera Sugar wao wapo nafasi ya 8 baada ya mechi zake 25, huku wakiwa wameshinda mechi zao 8, sare zao 8 na kupoteza mechi mara 9, pointi zao 32 hadi sasa kwenye ligi.

Mechi 05 za mwisho kukutana kwenye ligi, Yanga ameshinda mara 4 huku Kagera akiwa hajashinda hata mechi moja na kutoa sare moja. Bashiri mechi hii na Meridianbet kwa ODDS KUBWA zaidi.

