Gabriel Geay Mtanzania Mwingine Aweka Rekodi Marekani

Gabriel Gerald Geay ameibuka mshindi wa nafasi ya pili kwenye mbio za riadha zilizojulikana kwa jina la Boston Marathon huko nchini Marekani. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

geay

Geay Alitumia masaa mawaili, dakika sita na sekunde 4 huku mtu wa kwanza akimpita kwa sekunde 10 tu. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Nafasi ya kwanza ilishikiliwa na Mkenya aliyefahamika kama Chebet, lakini pia ya tatu na ya nne ni Wakenya Kipruto na Korir. Geay anaweka rekodi hiyo akiwa ni Mtanzania pekee kushiriki kwenye mbio hizo.

 

boston marathon

Rekodi ya kuipeperusha vyema bendara ya Tanzania kwenye riadha imewahi kufanywa pia na Alphonce Simbu mwaka 2016 akimaliza nafasi ya 5 mbio za Olympics huko Brazil. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

 

simbu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.