Mikel Arteta anaripotiwa kupewa kitita cha paundi milioni 150 za usajili wa msimu wa joto huku Arsenal wakipania kuongeza dau lingine la kuwania taji la Premier League. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
Arsenal wamefurahia msimu mzuri ambapo tayari wamejihakikishia nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa kwa msimu ujao wa 2023/24.
Na kwa mujibu wa gazeti la Independent, Arteta atakuwa na £150m za kufanya usajili wa wachezaji wapya. Beti Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Nahodha wa West Ham, Declan Rice ndiye mlengwa nambari moja, huku Arteta pia akimtaka kiungo wa Brighton Moises Caicedo, winga wa Bayer Leverkusen Moussa Diaby na mlinzi wa Crystal Palace Marc Guehi.
Imesemekana pia kwamba wakazi wa London Kaskazini wako tayari kusikiliza ofa kwa Nicolas Pepe, Kieran Tierney, Nuno Tavares na Folarin Balogun. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.


