Baada ya Pochettino kumkataa Joao Felix, mchezaji huyo amechapisha picha za matukio yake ya likizo saa chache baada ya kugundua kwamba hatarejea London Magharibi. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.
Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno alitumia nusu wa msimu wa 2022-23 kwa mkopo Chelsea, baada ya The Blues kumleta kwa mkopo wa miezi sita kutoka Atletico Madrid.
Kulikuwa na matumaini, miongoni mwa wafuasi, kwamba kijana huyo mwenye umri wa miaka 23 angejiunga na timu yao baada ya kuonesha kiwango cha kuvutia. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
Nyota huyo wa Ureno alichapisha picha kwenye Instagram, Jumatano asubuhi, iliyomuonyesha akiwa amesimama kwenye boti huko Ibiza.
Hakukuwa na maelezo kwenye picha hiyo lakini, kutokana na ukweli kwamba alichapisha muda mfupi baada ya habari kwamba hatarejea hali inayooneka kama Joao alikuwa na taarifa hizo kabla.
Ilithibitishwa kuwa Joao Felix ndiye aliyekuwa mchezaji wa kwanza kati ya wanaotarajiwa kutolewa chini ya Mauricio Pochettino. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Rais wa Atletico Madrid Enrique Cerezo alithibitisha Jumanne kwamba Felix hataongeza muda wake wa kukaa Stamford Bridge kwa kuwa hayumo katika mipango ya Pochettino.
Cerezo alisema: “Tumejuana kwa chini ya saa 24. Meneja wa Chelsea hamtegemei.
“Atarudi mkopo wake utakapoisha na tutaona kitakachotokea. Hatuna chochote tulichopanga lakini ni mchezaji wa Atletico Madrid.”
Wachezaji Wanaomfuata Joao Felix.
Pierre-Emerick Aubameyang, Hakim Ziyech, Christian Pulisic, Edouard Mendy na Callum Hudson-Odoi wanatarajiwa kuondoka huku mustakabali wa Kalidou Koulibaly, Cesar Azpilicueta na N’Golo Kante hauko wazi. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.


