Feisal Akiwa Azam FC Amtaja Rais Samia

feisal

Hatimaye Azam FC imekuwa timu ya kwanza kutangaza usajili wao wa kwanza kwa msimu wa 2023/24 jina la Feisal Salum Feitoto aliyekuwa na mgogoro na waajiri wake wa zamani Yanga kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika haya yafuatayo: Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

“Kwanza namshukuru Allah kwa kila jambo, kwa utulivu wa nafsi na namna alivyonijalia hadi muda huu nikiwa mchezaji wa Azam Fc.” Feisal

“Namshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia kwa namna ya kipekee na namna anavyofuatilia michezo na kutulea sisi watoto wake. Binafsi sina la kumlipa zaidi ya kuifia jezi ya Timu ya Taifa ya Tanzania.”

Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

“Nawashukuru Watanzania wote kwa mapenzi yao kwangu, nawashukuru Mashabiki wa Yanga na uongozi kwa miaka yote tulokua pamoja, haikua rahisi mimi kuondoka.”

“Kipekee niwashukuru wachezaji wote nilocheza nao Yanga na kufurahia michezo mingi ya ushindi na kumbukumbu nyingi pamoja. Hatukuwa tu wachezaji wa timu moja bali familia.”

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

“Niwashukuru Azam Fc kwa kuona nafaa kucheza timu hii na nawaahidi ubora na jasho la kweli kutafuta mafanikio. Kwangu mimi hii ni klabu kubwa yenye hadhi ya mimi kuichezea.”-Feisal Salum Feitoto mchezaji wa Azam FC. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.