BAADA ya kukamilisha usajili wa Alexis Mac Allister, Liverpool wanataka kumsajili tena kiungo wa Nice Khephren Thuram kuendelea kujiimarisha zaidi msimu ujao. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Thuram, mtoto wa gwiji wa Ufaransa Lillian, ana nia ya kuhamia Anfield. Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
Liverpool pia inachunguza uwezekano wa kumnunua mchezaji mwenzake wa kimataifa wa Ufaransa chini ya umri wa miaka 21, Manu Kone kutoka Borussia Monchengladbach. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.


