Alexis Mac Allister Ameaga Brighton na Kujiunga Liverpool.

mac allister

Alexis Mac Allister amekamilisha uhamisho wa paundi milioni 35 kwenda Anfield ambao unaweza kupanda hadi paundi milioni 55 za nyongeza. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

 

Akiandika kwenye Instagram, alisema: “Ni wakati wa kusema kwaheri kwa klabu ambayo kilinifungulia milango na kunipa wakati wa kushangaza. Sikuwahi kufikiria kuwa nitaishi maisha ambayo nimeishi katika miaka hii 3 na nusu, lakini klabu hii ilinipa nafasi hiyo na nitashukuru milele.

“Kwanza kabisa, ningependa kumshukuru kila mtu ambaye alishiriki katika safari hii, Tony Bloom, Paul Barber na mameneja, Graham na Roberto pamoja na wafanyakazi wao wote. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Muhimu zaidi wachezaji, kumbukumbu nzuri sana na kujifunza mengi kutoka kwao! Na kila mtu anayefanya kazi katika klabu, ambaye anaonekana kidogo sana lakini anafanya kazi kwa bidii zaidi, ili tufurahie kila siku, na timu inaweza kufikia malengo makubwa.

“Mwishowe, kuchaguliwa kuwa mchezaji bora wa mashabiki wote, msaada wako na heshima yako wakati huu imekuwa ya kushangaza. Pamoja na kukaribishwa kwako baada ya Kombe la Dunia, sitaisahau kamwe!”- Mac Allister.

“Sina shaka kuwa timu hii itafanikisha mambo mengi muhimu, kwa sababu wana ujuzi wa soka na ubora wa kibinadamu wa kuifanya.

Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

“Siku zote nitakutazama na kukuunga mkono (isipokuwa ninapocheza dhidi yako)

“SHUKRANI SANA WANYAMA! Daima utakuwa na nafasi ya pekee moyoni mwangu!”

Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.