Harry Maguire anasitasita kuondoka Manchester United licha ya kupewa mkono wa kwaheri na mabingwa mara 20 wa Premier League. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.
Klabu ya Tottenham wana nia ya kumnunua Maguire lakini beki huyo wa Uingereza anataka kusalia Old Trafford na kupigania nafasi yake. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Kocha wa United Erik ten Hag yuko tayari kumuuza Maguire ili kusaidia kufadhili uhamisho wa beki wa kati wa Napoli Kim Min-jae. Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.


