Barcelona Kumuongezea Mkataba Araujo

Klabu ya Barcelona wako kwenye mchakato wa kumuongezea mkataba beki wake raia wa kimataifa wa Uruguay Ronald Araujo akiwa amepewa kipaumbele kikubwa zaidi.

Beki Ronald Araujo amekua moja ya wachezaji muhimu zaidi ndani ya klabu ya Barcelona hivi karibuni na ndio sababu kubwa ya klabu hiyo kutoka kumuongezea mkataba mrefu zaidi.barcelonaMkataba wasasa wa beki huyo wa kimataifa wa Uruguay unamalizika mwaka 2026, Lakini mabingwa hao wa soka kutoka nchini Hispania wanahitaji kumpa mkataba mrefu zaidi beki huyo.

Ronald Araujo ameonesha kiwango bora sana ndani ya klabu hiyo katika misimu mitatu ya hivi karibuni, Jambo ambalo limemfanya beki huyo kua moja ya manahodha wa klabu hiyo.barcelonaKlabu ya Barcelona wanahitaji kutengeneza kizazi kipya ambacho kitakuja kufanya makubwa katika siku za usoni ndani ya klabu hiyo, Na ndio sababu kubwa ya kuwaongezea mikataba wachezaji wake muhimu na wenye umri mdogo kama beki Ronald Araujo.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.