Gamondi Apiga Hesabu Ndefu Yanga

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga hesabu zake kubwa kwa sasa ni kufanya vizuri kwenye mashindano makubwa matatu ambayo wanashiriki baada ya Mapinduzi 2024 kugota mwisho. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.


Yanga

Ipo wazi kuwa Yanga iligotea hatua ya robo fainali Mapinduzi 2024 ubingwa ukibaki kwa mara nyingine mbele ya Mlandege waliupata ushindi wa bao 1-0 Simba kwenye mchezo wa fainali iliyochezwa Januari 13 2024.

Gamondi ameweka wazi kuwa vita nyingine uwanjani ya kusaka ushindi inaendelea kwenye Ligi Kuu Bara, Ligi ya Mabingwa Afrika na Azam Sports Federation.

Gamondi amesema kuwa kila mashindano ambayo wanashiriki ni muhimu kufanya vizuri na kikubwa ni kupata ushindi uwanjani. Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

“Kwenye mashindano ambayo tunashiriki ni muhimu kupata ushindi kwa kuwa kila mchezo tunahitaji kupata matokeo. Wachezaji wanalitambua hilo hivyo tunafanyia kazi makosa yaliyopita ili tuwe imara.

“Makosa yaliyopita tunafanyia kazi sehemu ya mazoezi hilo linatufanya tuzidi kuwa imara kwa kupunguza zaidi makosa kwenye mechi,”.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.