Yanga Yatoa Tahadhari Kuhusu Straika Mpya.

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa usajili wa mshambuliaji wao mpya Joseph Guede utawaongezea kasi kwenye suala la kufunga.

Guede Yanga

Huku wapinzani wao wakionywa kutokana na uwezo wa mshambuliaji huyo mwenye uzoefu wa kucheza mechi za ushindani.

Yanga kwenye usajili wa dirisha dogo ilimtambulisha Joseph Guede raia wa Ivory Coast kuwa miongoni mwa nyota wao wapya huku mwamba Hafiz Konkoni akitolewa kwa mkopo.

Na anatarajia kuanza kazi kwenye mchezo wa kwanza wa ligi kuu ya NBC itakaporejea kutoka kwenye mapumziko ya Afcon 2023 inayoendelea nchini Ivory Coast.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Acha ujumbe