Ni misimu takribani 6 kama sio 7 imepita tangu Yanga Ile ya Thaban Kamusoko Kampa Kampa tena, Ile Yanga yenye Haruna Niyonzima wa moto mno burudani ilikuwa inatolewa kwa kiwango cha Kimataifa tena kwa gharama ndogo sana. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Wamepita wachezaji wengi sana pale mitaa ya Jangwani wengi wameimbwa lakini msimu huu kuna hii Yanga ya Miguel Gamondi, Yenye Maxi Nzengeli, Paccome, Aziz Ki, Yao Yao nk imekuwa ya moto sana, nyasi zinanyofolewa mithili ya mwanamuziki anavyopiga nyuzi za gitaa na kutoa muziki mzuri.
Jamus FC wamekuja Zanzibar sio kutalii bali wamekuja kuonesha soka safi la nchini Sudan Kusini, bila shaka leo usiku dimba la Aman Complex litakuwa uwanja wa burudani kwa mashabiki. Huu ni mchezo wa pili kwa Yanga ambao wametoka kutoa dozi kubwa mnara wa 5G ulisoma mitaa ya Jamhuri pale hawakujua cha kufanya walijatahidi sana kukata umeme lakini Quality iliamua mechi hiyo, ni sawa na mbingu na Ardhi tu. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
Kwa mujibu wa Afisa Habari wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe alibainisha mapema kabla ya mchezo huu kwamba watatoa burudani kwa mashabiki na Jamus FC akijichanganya mnara utasimama, huku akisisitiza kwamba timu hiyo kutoka Sudan inapaswa kupigwa Konzi ya utosi ili kuwaweka sawa.
Fuatilia mashindano hayo ya Kombe la Mapinduzi ambapo fainali yake itakuwa ni Januari 13, 2024, Meridianbet pekee inakuwa nafasi ya kubashiri mechi mbalimbali kwa odds kubwa huku ukipata machaguo zaidi ya 1000, wakati huo pia unafurahia michezo ya kasino ya mtandaoni. Cheza Kasino.