Leo hii August 6 ligi kuu ya Uingereza maarufu kama EPL inaanza rasmi hapo baadae majira ya saa 4:00 usiku ambapo Manchester United chini ya Erik Ten Hag watakipiga dhidi ya Fulham katika dimba la Old Trafford.

Mabingwa wa ubashiri Tanzania Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda Manchester kwa ODDS 1.60 kwa 4.90 ambapo jana kocha Ten Hag alisema kuwa bado timu yake hijajiandaa kuanza ligi.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Ikumbukwe kuwa Mashetani hao Wekundu waliingia sokoni na kufanya usajili wa wachezaji kadhaa kama vile Matthjis de Light na Noussair Mazraoui kutoka Bayern, Leny Yoro kutoka Rennes, Joshua Zirkizee kutoka Bologna pamoja na kuwaongezea baadhi wa wachezaji mikataba akiwemo Bruno Fernandez.


