Manchester United vs Fulham Kufungua Pazia la EPL Leo

Leo hii August 6 ligi kuu ya Uingereza maarufu kama EPL inaanza rasmi hapo baadae majira ya saa 4:00 usiku ambapo Manchester United chini ya Erik Ten Hag watakipiga dhidi ya Fulham katika dimba la Old Trafford.

Manchester United vs Fulham Kufungua Pazia la EPL Leo

Mabingwa wa ubashiri Tanzania Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda Manchester kwa ODDS 1.60 kwa 4.90 ambapo jana kocha Ten Hag alisema kuwa bado timu yake hijajiandaa kuanza ligi.

Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Ikumbukwe kuwa Mashetani hao Wekundu waliingia sokoni na kufanya usajili wa wachezaji kadhaa kama vile Matthjis de Light na Noussair Mazraoui kutoka Bayern, Leny Yoro kutoka Rennes, Joshua Zirkizee kutoka Bologna pamoja na kuwaongezea baadhi wa wachezaji mikataba akiwemo Bruno Fernandez.

Manchester United vs Fulham Kufungua Pazia la EPL Leo

Wakati kwa upande wa Fulham wao wamemsajili Emil Smith Rowe kutoka Arsenal, wakimrejesha Ryan Sessegnon, huku pia wakimuuza Joao Palhinha kwenda Bayern Munich.

Msimu uliopita timu hizi mbili zilipokutana, waligawana pointi ambapo mechi ya kwanza Manchester alishinda kwa ushindi mwembamba na kuondoka na pointi tatu, huku mechi ya mkondo wa pili akafa nyumbani kwake Old Trafford.

Je leo hii beti yako unaiweka wapi kati ya kwa Mashetani Wekundu na vijana wa Craven Cottage?. Mechi hii pia ina machaguo zaidi ya 1000 ndani ya Meridianbet ingia na ubashiri sasa.

Acha ujumbe