Roman Folz Arudi Na Mizuka Yanga

Romain Folz, Kocha Mkuu wa Yanga SC amekiongoza kikosi hicho kwenye mazoezi ikiwa ni maandalizi kuelekea mchezo ujao wa kimataifa, Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga SC imetoka kucheza mchezo wa Ligi Kuu Bara ya NBC dhidi ya Mbeya City uliochezwa Septemba 30 2025 wakatoshana nguvu kwa suluhu ya 0-0.

Romain Folz Arudi Na Mizuka Yanga

Baada ya mchezo huo tetesi zilkuwa zinaeleza kuwa huenda Roman Folz akaondoka ndani ya kikosi hicho kutokana na mwendo wa timu hiyo kutokuwa mzuri. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC aliweka wazi kuwa bado Romain ni Kocha Mkuu wa Yanga SC hivyo hakuna taarifa nyingine tofauti ambayo imetoka.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.

Romain Folz Arudi Na Mizuka Yanga

Romain Folz amekiongoza kikosi cha Yanga SC kwenye mazoezi Uwanja wa KMC ikiwa ni maandalizi kuelekea mchezo ujao wa hatua ya pili itakuwa dhidi ya Silver Strikers utakaochezwa Malawi Oktoba 18 2025.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.