Yanga Yaifuata Simba Nyumbani Baada ya Kushindwa Kufuzu Michuano ya CAF

Ligi ya mabingwa Barani Afrika mechi za kukamilisha makundi na kutafuta timu 8 za kucheza robo fainali ilipigwa jana ambapo licha ya Yanga kushinda waliweza kutupwa nje ya michuano hiyo.

Yanga Yaifuata Simba Nyumbani Baada ya Kushindwa Kufuzu Michuano ya CAF

Vijana hao wa Pedro walishinda kwa mabao 3-0 wakiwa nyumbani, lakini ushindi huo si pekee ambao walikuwa wakiuhitaji bali pia walitarajia Al Ahly washinde ili wao wafuzu.

Ahly wakiwa kama vinara wa Kundi hilo B, walimaliza mechi kwa kutoa suluhu yaani 0-0 huku nafasi ya pili ikishikwa na ASFAR Rabat na 3 ikishikwa na Yanga wakati kwa upande wa Kabylie yeye akishika mkia.

Wananchi wamemaliza Kundi wakiwa na pointi 8 kwenye msimamo wa ligi huku Msemaji wa Klabu hiyo Ally Kamwe akisema kuwa wanajipanga kwaajili ya msimu ujao sasa wanwaekeza nguvu zao kwenye ligi.

Yanga Yaifuata Simba Nyumbani Baada ya Kushindwa Kufuzu Michuano ya CAF

Meridianbet inakwambia kuwa endelea kubashiri hapa kwani ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya ushindi sasa.

Wakati kwa upande wa Ahly wao wameshinda mechi 2 pekee na kutoa sare 4 ambapo wamefanikiwa kukusanya pointi 10 ambazo zimemfanya kuwa moja ya timu 8 zinazoingia robo fainali.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.