Simba Yaifuata Singida BS kwa ajili ya Mchezo wa Ligi ya NBC

Kikosi cha Simba sc kimesafari kuelekea Singida kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa ligi kuu ya  NBC  dhidi ya Singida Black Stars utakaochezwa Machi 11, 2026 katika uwanja wa Airtel mkoani humo.

Simba Yaifuata Singida BS kwa ajili ya Mchezo wa Ligi ya NBC

Timu hiyo imeondoka mapema leo kupitia uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar es Salaam na kutua Dodoma mapema asubuhi, ambako itaweka kambi ya muda kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo muhimu wa ligi.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Kwa mujibu wa ratiba ya timu hiyo, kikosi cha Simba sc kitafanya mazoezi jioni ya leo jijini Dodoma kabla ya kuanza safari kuelekea Singida kesho mapema kwa ajili ya mchezo huo dhidi ya Singida Black Stars.

Simba Yaifuata Singida BS kwa ajili ya Mchezo wa Ligi ya NBC

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.