Neymar Arejea Kikosi cha Awali cha Timu ya Taifa Brazil

Nyota wa Santos FC, Neymar Jr, amejumuishwa katika kikosi cha awali cha timu ya taifa ya Brazil kwa ajili ya mechi za kirafiki za kimataifa zitakazochezwa mwezi Machi 2026 dhidi ya timu ya taifa ya Ufaransa pamoja na ile dhidi ya timu ya taifa ya Croatia.

Neymar Arejea Kwenye Kikosi cha Awali cha Timu ya Taifa Brazil

Iwapo mshambuliaji huyo ataingia katika kikosi cha mwisho kitakachotangazwa kwa mechi hizo, itakuwa ni mara yake ya kwanza kurejea kuitumikia Brazil tangu Oktoba 2023. Neymar alikuwa nje ya kikosi cha taifa kwa muda mrefu kutokana na majeraha yaliyomuweka mbali na uwanja.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapaNeymar Arejea Kwenye Kikosi cha Awali cha Timu ya Taifa BrazilKwa sasa, Neymar anaendelea kuonyesha kiwango kizuri akiwa na Santos, hali iliyowavutia makocha wa timu ya taifa kumrejesha katika orodha ya wachezaji wanaofuatiliwa. Uchezaji wake umeonekana kurejea katika kiwango cha juu na kutoa matumaini kwa mashabiki wa Brazil.Neymar Arejea Kwenye Kikosi cha Awali cha Timu ya Taifa BrazilKurejea kwake kunaweza kuwa hatua muhimu kuelekea maandalizi ya mashindano makubwa yajayo, ikiwemo FIFA World Cup. Endapo ataendelea na kiwango chake kizuri, kuna uwezekano mkubwa wa Neymar kuwa sehemu ya kikosi cha Brazil kitakachoshiriki michuano hiyo mikubwa ya dunia.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.