Dickson Job Afanyiwa Upasuaji  wa Goti

Nahodha msaidizi wa Klabu ya  Yanga SC, Dickson Job, amefanyiwa upasuaji wa goti baada ya kuumia vibaya katika mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba SC uliofanyika Machi 1 kwenye Uwanja wa Amani Complex visiwani Zanzibar.

Dickson Job Afanyiwa Upasuaji  wa Goti

Jeraha hilo lilitokea baada ya kugongana na kiungo mshambuliaji wa Simba, Inn Loemba, jambo lililosababisha hitaji la upasuaji wa haraka ili kurekebisha goti lake. Upasuaji huo umefanyika nchini South Africa na kwa muujibu wa ripoti za madaktari wanasema kwamba Job atahitaji muda wa miezi kadhaa kupumzika na kupona kikamilifu kabla ya kurejea kwenye kikosi cha kwanza cha Yanga.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Dickson Job Afanyiwa Upasuaji  wa Goti

Kukosa Job uwanjani kunakuwa pigo kwa Yanga SC kwani yeye ndiye mmoja wa wachezaji muhimu katika safu ya ulinzi na kuongoza timu, na klabu itahitaji kupanga mbinu mbadala ili kudumisha ushindani katika Ligi Kuu Bara na michuano ya kombe la shirikisho la CRDB.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.