Yanga sc Yatozwa Faini Baada ya Makosa ya Walinzi Katika Dabi ya Kariakoo

Klabu ya Yanga SC imetozwa faini ya shilingi milioni 5 kufuatia kosa la walinzi wake kupigana na kutoleana lugha za matusi na walinzi wa Simba SC katika mchezo wa Dabi ya Kariakoo uliochezwa katika Uwanja wa New Amaan Complex. Tukio hilo lilitokea wakati wa maandalizi na uingiliaji wa timu zote, jambo lililosababisha mvutano mkali kati ya walinzi wa pande zote mbili.

Yanga sc Yatozwa Faini Baada ya Makosa ya Walinzi Katika Dabi ya Kariakoo

Aidha, walinzi wa Simba SC pia walichukuliwa hatua za kinidhamu na klabu hiyo kupigwa faini ya shilingi milioni 5 kwa kosa la kupigana na kutoleana lugha chafu na walinzi wa Yanga. Hatua hiyo ni sehemu ya jitihada za Ligi Kuu za kudhibiti tabia zisizofaa zinazohusiana na mechi za Dabi.

Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa

Yanga sc Yatozwa Faini Baada ya Makosa ya Walinzi Katika Dabi ya Kariakoo

Makosa haya ya walinzi yameelezwa kuwa kiasi cha kuhatarisha usalama wa mechi na kuathiri heshima ya ligi, hivyo mamlaka za soka nchini zimetoa adhabu kwa klabu zote mbili kuhakikisha matukio kama haya hayajarudi tena katika mechi za ligi kuu.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.