Pesa Inazopata Yanga SC & Vilabu kwa Nafasi Zao Kwenye Msimamo

Pazia la Ligi Kuu ya NBC limetamatika Mei 28,2024 huku klabu ya Yanga SC ikitwaa Ubingwa wa 30 ikiwa ni mara ya tatu mfufulizo kuanzia msimu wa 2021/22. Meridianbet pia ni nyumba ya mabingwa hakikisha unajisajili na familia hii kubwa kwa ushindi mkubwa.

 

Yanga

Sasa ifuatayo ni orodha ya maokoto ambayo timu zote za Ligi kuu zimevuna baada ya ligi kuisha, hii haijalishi hata kwa timu zilizoshuka daraja kama Mtibwa Sugar na Geita Gold FC.

1. Yanga SC (Sh 600,000,000)
2. Azam FC(Sh 300,000,000)
3. Simba SC(Sh 255,000,000)
4. Coastal Union FC (Sh 200,000,000)
5. KMC FC Inayodhamini na Kampuni namba moja ya michezo ya ubashiri na kasino ya mtandaoni Meridianbet itavuna kitita cha (Sh 65,000,000)
6. Namungo FC (Sh 60,000,000)
7. Ihefu FC (Sh 55,000,000)
8. Mashujaa FC (Sh 50,000,000)
9. Tanzania Prisons FC (Sh 45,000,000)
10. Kagera Sugar FC (Sh 40,000,000)
11. Singida FG FC (Sh 35,000,000)
12. Dodoma Jiji FC (Sh 30,000,000)
13. JKT Tanzania FC (Sh 25,000,000)
14. Tabora United FC (Sh 20,000,000)
15. Geita Gold FC (Sh 10,000,000)
16. Mtibwa Sugar FC (Sh 10,000,000)
TIMU YENYE NIDHAMU: (Tsh 20,000,000) Itatangazwa kwenye usiku wa tuzo za Ligi Kuu ya NBC.

Katika safari hii Aziz Ki amekuwa mfungaji bora akiwa na jumla ya mabao 21, akifuatiwa na Feisal mwenye mabao 19, Matampi mlinda mlango wa Coastal Union ana cleansheet 15 akifuatiwa na mlinda mlango wa Yanga SC Djigui Diarra mwenye Cleansheet 14.

Acha ujumbe